Rais Kikwete akagua Mradi wa Umwagiliaji Msoga - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Kikwete akagua Mradi wa Umwagiliaji Msoga

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua chanzo cha maji katika mradi wa umwagiliaji maji katika kijiji cha Msoga,wilayani Bagamoyo, mkoa wa Pwani Machi 11.12.Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Pwani Bi.Mwantumu Mahiza na kushoto ni mwenyekiti wa kijiji cha Msoga Bwana Herman Katoto Semindu.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mkulima Selemani Ramadhani katika shamba la kijiji lililopo katika mradi wa umwagiliaji katika kijiji cha Msoga kilichopo wilayani Bagamoyo wakati alipotembelea kukagua maendeleo ya mradi.Jumla ya hekta mia nne zimetengwa kwa ajili ya mradi huo.(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages