RAIS KIKWETE AFUNGAU MKUTANO MKUU WA MWAKA WA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI LEO MJINI MOSHI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS KIKWETE AFUNGAU MKUTANO MKUU WA MWAKA WA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI LEO MJINI MOSHI

https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=135e7f81681dc1cf&attid=0.1&disp=inline&realattid=f_gzgwf5pk0&safe=1&zw&saduie=AG9B_P-pMeAX8Bj6uum_JO85Z8o9&sadet=1331036931212&sads=WSgkMBQtRqhP_CeyYZadwbmW9uc 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Chuo cha Polisi mjini Moshi leo Machi 6, 2012 tayari kwa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Shamsi Vuai Nahodha na kushoto kwake ni Inspekta Jenerali wa Polisi Saidi Mwema. 
https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=135e7f81681dc1cf&attid=0.2&disp=inline&realattid=f_gzgwf5pr1&safe=1&zw&saduie=AG9B_P-pMeAX8Bj6uum_JO85Z8o9&sadet=1331037003602&sads=o79sgFnOOAuP7YfNCjgwuy1BmyA 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa  ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi  Chuo cha Polisi mjini Moshi leo Machi 6, 2012
https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=135e7f81681dc1cf&attid=0.3&disp=inline&realattid=f_gzgwf5q02&safe=1&zw&saduie=AG9B_P-pMeAX8Bj6uum_JO85Z8o9&sadet=1331037074159&sads=_KWr3fCS8hvqPjQeNusV0vah83o 
 Rais Jakaya Kikwete akizindua mojawapo ya vitabu vya muongozi wa Jeshi la Polisi  wakati wa  ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi  Chuo cha Polisi mjini Moshi leo Machi 6, 2012  Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Shamsi Vuai Nahodha wa kulia Rais ni Inspekta Jenerali wa Polisi Saidi Mwema akifuatiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh Leonidas Gama
https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=135e7f81681dc1cf&attid=0.4&disp=inline&realattid=f_gzgwit9b3&safe=1&zw&saduie=AG9B_P-pMeAX8Bj6uum_JO85Z8o9&sadet=1331037173949&sads=MiZvQz6G7ZRxN0zuZumCTFCGj2A Sehemu ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi  Chuo cha Polisi uliofunguliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete mjini Moshi leo Machi 6, 2012 PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages