
Jana
jioni wakati narejea nyumbani, nikiwa kwenye foleni pale maeneo ya
Tegeta, Nikaona msafara ya Waziri Magufuli umesimama ghafla kaatikati ya
Barabara, akashuka na kuwapa darasa askari trafiki waliokuwa pembeni
wamesiama wakiangalia foleni, badala ya kuyaongoza magari.
Duh, ghafla raia wakamzunguka na kumpa Big up. Akapanda yake huyoo akaendelea na msafara.
Napenda sana kumpongeza Waziri huyu kwa jinsi anavyochapa kazi zake barabara! Wengine wako wapi? mbona wahasikiki?
Hon. Magufuli Keep it up!
Mdau
Mmbando





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)