POLISI MKOANI MBEYA WAFANYIWA VURUGU NA WANANCHI HAPO JANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

POLISI MKOANI MBEYA WAFANYIWA VURUGU NA WANANCHI HAPO JANA

Viongozi wa kijiji cha lupa tingatinga wakimsikiliza mkuu wa polisi mkoani mbeya jana 
Barabara ya kwenda Tabora maeneo ya lupa tingatinga chunya barabara hiyo ikiwa imefungwa kwa kuchoma matairi ya magari kuto ruhusu polisi kupita kwenda kuchukua mwili wa mwanafuzi aliyeuwawa kwa kutuhumiwa kuiba simu
Moja wa maaskari wa kutuliza fujo akiwa amejeruhiwa kwa kupigwa mawe na wananchi hao wa chunya
Kijana huyu rasi ni moja wa vijana waliokuwa wakiwazuia polisi wasichukue mwili wa marehemu
Wananchi wakiwatupia mawe polisi.Habari Kwa Hisani Ya Mbeya Yetu Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages