NSSF YAKABIDHI VIFAA MICHEZO KWA TIMU ZITAKAZOSHIRIKI KOMBE LA NSSF - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NSSF YAKABIDHI VIFAA MICHEZO KWA TIMU ZITAKAZOSHIRIKI KOMBE LA NSSF

Mwakilishi wa timu ya TBC Chacha Maginga akipokea jezi kutoka kwa Unice Chiume Meneja wa Uhusiano wa shirika la hifadhi ya jamii NSSF kwa ajili ya michuano ya kombe la NSSF CUP inayotarajiwa kuanza siku ya Jumamosi kwenye viwanja vya TCC Sigara Chang'ombe na Chuo Kishiriki cha Elimu Chang'ombe DUCE, hafla hiyo imefanyika kwenye ukumbi wa JB Belmont Hoteli Mkapa Tower jijini Dar es salaam.
Mwakilishi wa timu ya mabingwa watetezi wa kombe hilo timu ya Jambo Leo maarufu kama "Wagumu Stars" akipokea jezi kutoka kwa Meneja Uhusiano wa NSSF Unice Chiume kwa ajili ya timu yao
Mwakilishi wa timu ya wanawake ya Netboli ya Mwananchi Communication Kalunde akipokea jezi za timu yao kutoka kwa Meneja Uhusiano wa NSSF Unice Chiume.Kwa Hisani Ya Full Shangwe Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages