Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adam Malima ( kati kati) akiwafafanulia Waandishi wa Habari ( hawaonekani pichani), namna alivyoibiwa baada ya dirisha la chumba chake kuvunjwa - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adam Malima ( kati kati) akiwafafanulia Waandishi wa Habari ( hawaonekani pichani), namna alivyoibiwa baada ya dirisha la chumba chake kuvunjwa

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adam Malima ( kati kati) akiwafafanulia Waandishi wa Habari ( hawaonekani pichani), namna alivyoibiwa baada ya dirisha la chumba chake kuvunjwa na wezi katika Hoteli ya Kitalii ya Nashera ya Mjini Morogoro. Kulia ni Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini , Innocenti Kalongeries na mwingine ni Meneja wa Hoteli hiyo, Eustusi Mtua .( Picha na John Nditi).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages