
Katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi jimbo la Arumeru Mashariki, Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa kambi rasmi bungeni, atalihutubia taifa leo.
Hotuba hiyo itarushwa LIVE na STAR TV, RADIO SUNRISE na RADIO JM. Katika siku ya uzinduzi wa kampeni.
Watanzania wote wanaombwa kutazama Star tv kusikiliza hotuba hiyo yenye mustakabali wa Taifa letu.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)