|
Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na
Chuo cha Usimamizi wa Maji kwa mwaka 2012 yametangazwa na Kamishna wa
Elimu ya Sekondari. Pamoja na majina hayo, ripoti pamoja na uchambuzi
wa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne kwa mwaka 2011 imetolewa.
Wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha Usimamizi wa Maji 2012- Wasichana
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)