Baada
ya kufanya vyema katika anga za muziki wa kizazi kipya kwa mwaka jana
na kuendeleza libeneke na mchakamchaka kwa mwaka huu, wakikimbiza
vilivyo na Ngoma yao kali iliyotambulika kama ACHAAAA, waliyomshirikisha
mwandaaji wao, MESSEN SELEKTA na kupata shoo kadhaa, Sasa Madogo
hawa wakali wawili RICHBOI AKA KINGKAPITA NA NAS wametoa na kali
nyingine inayokwenda kwa jina la Mtoto Mlito, wakimshirikisha mkali wa
sauti, RICH MAVOKO ANAEKIKI MJINI NA SILALI.
JINA LA ARTIST:RICHBOI-KINGKAPITA AND NAS 3
NYIMBO::MTOTO MLITO
PRODUCED BY MESSEN SELEKTA
STUDIO::DE-FATALITY
''TUNAOMBA SANA SUPPORT YAKO MDAU AGALAU TUWEZE KUFIKA PALE TUNAPO HITAJI NA MALENGO YETU KUWA KWELI
KAZI NJEMA NA MUNGU AKUBARIKI SANA!! ONE LOVE!!''






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)