MKUU WA MAJESHI YA ULINZI - CDF NA IGP WAZUNGUMZA NA MAAFISA WA POLISI MJINI MOSHI LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKUU WA MAJESHI YA ULINZI - CDF NA IGP WAZUNGUMZA NA MAAFISA WA POLISI MJINI MOSHI LEO

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini, Davis Mwamunyange akitoa Mada  katika Mkutano Mkuu wa Maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi unaoendelea katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi, Mkoani Kilimanjaro Machi 07.2012.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini, Davis Mwamunyange akizungumza na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi baada ya kutoa mada katika mkutano wa maafisa hao unaoendelea katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi, Mkoani Kilimanjaro. Kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Said Mwema.
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Said  Mwema akifafanua jambo  katika Mkutano Mkuu wa Maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi unaoendelea katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi, Mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama Nchini Davis Mwamunyange akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi baada ya kutoa mada katika mkutano wa maafisa hao unaoendelea katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi, Mkoani Kilimanjaro. (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages