Mama Sitti Mwinyi Na Mama Anne Mkapa Waongoza Wake Za Viongozi Kumtembelea Mama Maria Nyerere - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mama Sitti Mwinyi Na Mama Anne Mkapa Waongoza Wake Za Viongozi Kumtembelea Mama Maria Nyerere

Mke wa Balozi wa Tanzania nchini ibelegiji Mama Kamala akiwa na Mama Maria nyerere
Wake wa  Marais wa stafu  Mama Siti Mwinyi na Mama Anna Mkapa wakijadiliana jambo wakati walipo mtembelea Mama Maria Nyerere nyumbani kwake msasani hivi karibuni kwa ajili ya kumpatia tuzo ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania iliyo andaliwa na kikundi cha wake wa viongozi kama ishara ya kutambua mchango wake katika kusaidi kupatikana kwa uhuru wa Tanzania
Mama Maria Nyerere akiwa katika Picha ya Pamoja na  Wake wa Viongozi Waliomtembelea.Picha na Habari na Mdau Christopher Mfinanga

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages