Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Akutana na Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Radio na Televisheni cha Africa 24 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Akutana na Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Radio na Televisheni cha Africa 24

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwa na mwandishi wa habari wa kituo cha Radio na Televisheni cha Africa 24 bibi Camille Thomas aliyefika nyumbani kwake Maisara kwa ajili ya kuzungumza nae.Picha na Salmin Said -Ofisi Ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages