MAADHIMISHO YA SIKU YA UTEPE MWEUPE TANZANIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAADHIMISHO YA SIKU YA UTEPE MWEUPE TANZANIA

Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (mwenye track suit) akipokea maelezo kutoka kwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Haji Mponda (wa pili kulia) jijini Dar es Salaam Leo machi 15.12, kabla ya kuanza matembezi ya kuadhimisha Siku ya Utepe Mweupe Tanzania.-Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (alievaa track suit), pamoja na watendaji wengine wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii pamoja na taasisi mbalimbali zinazoshughulikia mpango wa uzazi salama na afya za watoto wakishiriki kwenye matembezi ya kuadhimisha utepe  mweupe nchini . Kulia ni  Mkuu wa Mkoa wa DSM- Said  Sadick. Picha na Mwanakombo Jumaa -MAELEZO
 Wanafunzi wakiwa na mabango.
Brass Band ya Jeshi la Magereza ikiongoza matembezi.
Mrisho Mpoto 'mjomba' akitumbuiza katika maadhimisho hayo.
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete  akipata maelezo   kutoka kwa Dkt. Rose Ntambuto wa taasisi ya  Engender Health chini ya mradi wa ACQUIRE Tanzania (kulia).  Picha na Mwanakombo-Jumaa-MAELEZO.
Mama Kikwete akipata maelezo katika banda la PSI.
Sehemu ya washiriki katika maadhimisho hayo.

Mwenyekiti wa  Taasisi ya WAMA, Mke wa Rais  Mama Salma Kikwete akikata utepe kuzindua   kitabu cha uzazi salama jijini Dar es Salaam leo Machi 15.12, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Utepe Mweupe Tanzania (kulia ni Mkuu wa Mkoa wa DSM Said Mecky Sadick. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages