Hakuna kazi
iliyorahisi na kazi yoyote ni lazima ujitume ili kufanikisha kazi yako
na kuifanya iwe yenye kiwango cha juu, hivyo hata kupiga picha kuna kazi
ya ziada wakati mwingine unaona kila engo unayotaka kuitumia ili upate
picha nzuri haifai, lakini unajaribu kufanya kila linalowezekana ili
uweze kufanikisha na kupata kitu kizuri zaidi.
Kama anavyoonekana Mroki Mroki ama Father Kidevu kama anayojulikana kutokana na blogu yake ya http://mrokim.blogspot.com/,
hapa alikuwa akipata taswira ya wanafunzi wadogo waliotembelea katika
maonyesho ya maadhimisho ya wiki ya maji Mjini Iringa leo.Picha Na John Bukuku

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)