KATIBU
Mkuu Baraza la Wanawake la Chadema Taifa (BAWACHA) Naomi Kahiyula
akifunguwa Kongamano la Wanawake lililofanyika katika Ukumbi wa
Jamatihan Kibokoni Unguja, lililoandaliwa na( BAWACHA)
MBUNGE
wa Viti Maalum Chadema Mkoa wa Mjini Magharibi, Maryam Msabaha
akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano hilo la siku moja la Wanawake
lililoandaliwa na Baraza la Wanawake la Chadema Taifa (BAWACHA)
lililofanyika katika ukumbi wa Jamatihan Mjini Unguja.
Waandishi
wa habari wa vyombo mbalimbali wakifuatilia Kongamano la Wanawake
lililoandaliwa na Baraza la Wanawake Chadema Taifa, lilofanyika katika
ukumbi wa Jamatihan.
Washiriki
wa Kongamano la Wanawake wa CHADEMA wakimsikiliza Katibu Mkuu wa
Baraza hilo Taifa.Naomi Kahiyula, wakati akifunguwa kongamano hilo
liliofanyika katika ukumbi wa Jamatihan.Unguja.Picha Zote na Haroub
Hussein
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)