Mwenyekiti
wa Kamati ya Wazazi Ali Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari
kuhusiana na suala zima la kufutiwa matokeo kwa Wanafunzi wa kidato cha
nne Zanzibar kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa D.C.P.M Najma
M.Giga na kushoto yake ni Katibu wa kamati ya Wazazi Saleh Mohamed
Saleh.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirikala Habari la Zanzibar (ZBC)akitoa ufafanuzi wa baadhi
ya masuala katika Mkutano na Waandishi wa Habari ulioitishwa na Waziri
wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Abdillahi Jihad huko katika
Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Zanzibar.
Waziri
wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Abdillahi Jihad Hassan
akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na maendeleo na Malengo ya
wizara yake huko katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani
Kikwajuni kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara hio Ali Mwinyikai na
kushoto ni Naibu katibu Mkuu Issa Mlingoti.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)