Karibuni wadau katika libeneke letu la wana Moro na tunapenda kutambulisha rasmi blog yetu ambayo linapatikana kupitia link hii www.morogorofamily. blogspot.com
Tunapenda pia kukaribisha habari, maoni na matukio ya Mji Kasoro Bahari aka Morogoro kupitia barua pepe morogoromjiwetu@gmail.com
Tunashukuru sana kwa ushirikiano wenu na karibuni sana.
Morogoro Family
One Love





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)