Mshereheshaji Mahiri wa Evans Bukuku Live
Comedy Show, Taji Liundi akifafanua jambo kwa Msanii wa muziki Carolla
Kinasha ambaye alianza kuwa mshereheshaji katika
Evans Bukuku Live Comedy Show iliyofanyika Nyumbani Lounge jijini Dar
es Salaam.
Mshereheshaji Mahiri wa Evans Bukuku Live Comedy Show, Taji Liundiakitoa moja ya salamu inayotumiwa na vyama.
Wageni waliohudhuria katika Evans Bukuku Live Comedy Show wakivunjika mbavu kwa vicheko.
Mmoja ya wachekeshaji mahili katika kundi la Evans Bukuku Live Comedy, Dogo Pepe akionyesha manjonjo yake.
hahahahahahahahaha
...huyu jamaa atatuvunja mbavu
...Kumbe jamaa anajua na kuimba... ila ni full vituko. Picha zote Na www.kajunason.blogspot.com





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)