Dua Kwa Mwakilishi wa Jimbo la Bububu Marehemu Salum Amour Mtondoo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Dua Kwa Mwakilishi wa Jimbo la Bububu Marehemu Salum Amour Mtondoo

Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho akitoa hotuba ya Shukrani kwa Viongozi na Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Mazishi ya aliyekua Mwakilishi wa Jimbo la Bububu Marehemu Salum Amour Mtondoo aliezikwa huko kijijini kwao Bumbwini Mkoa wa Kaskazini Unguja Jana.
Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhili Soraga akitoa Mawaidha katika mazishi ya aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Bububu Zanzibar Marehemu Salum Amour Mtondoo huko Bumbwini Mkoa wa Kaskazini Unguja Jana.
 Waheshimiwa mbalimbali pamoja na Wananchi waliohudhuria katika kumuambea Dua aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Bububu Marehemu Salum Amour Mtondoo hapo katika Msikiti Mkuu wa Bububu Mjini Zanzibar Jana.Picha na Yussuf Simai-Maelezo, Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages