CHUMBA KIKIKOSEKANA HATA KIBARAZANI NITALALA TU HAINA SHIDA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

CHUMBA KIKIKOSEKANA HATA KIBARAZANI NITALALA TU HAINA SHIDA

Kijana huyu ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja akiwa anajiandaa kuutafuta usingizi wa usiku pasipokujali mahali alipo kama ni sahihi au laaah kama kamera ya LUKAZA BLOG ilivyomnasa ,Tabia hii imekua kwa kasi sana katika manispaa ya Dodoma kutokana na watu wengi kukosa uwezo wa kuwa na kipato cha kupanga hata chumba kinoja kitu ambacho hupelekea kulala vibarazani kwa watu na mbele za frame za biashara.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages