Taarifa zilizotufikia hivi Punde katika Mtandao wa LUKAZA BLOG zinasema kuwa Gari ya Kampuni ya Mwananchi Communication inayosafirisha magazeti
kwenda Moshi na Arusha imepata ajali leo asubuhi eneo la Kifaru, Mwanga.
Madereva wa gari hilo, Mzee Frank na Bwana Abdallah wameumia. Abdallah
hali hake siyo nzuri na hivyo amekimbizwa Hospitali ya Rufaa KCMC.Kwa habari zaidi tutawajuza kadri zinavyotufikia.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)