Basi la Super Najmunisa lateketea kwa moto jioni ya leo Mkoani Morogoro - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

Basi la Super Najmunisa lateketea kwa moto jioni ya leo Mkoani Morogoro

nyumba+418 Basi la Abiria la kampuni ya Super Najmunisa lifanyalo safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza,likimalizikia kuteketea kwa moto mara baada ya kupata shoti ya betri.ajali hiyo imetokea jioni ya leo maeneo ya Berege Mkoani Morogoro wakati basi hilo likiwa njiani kuelekea jijini Dar es Salaam kutokea Mwanza.hakuna mtu yeyote aliedhulika kwenye ajali hiyo isipokuwa mizigo yote ya abiria hao iliteketea kwa moto. Basi hilo nikiendelea kuwaka moto.Sehemu ya Abiria wa Basi hilo pamoja na wamazi wa maeneo ya jirani na kijiji hicho wakiwa wamekaa pembeni kuangalia jinsi gari hilo linavyoteketea kwa moto bila ya wao kujua la kufanya wakati huo. Picha kwa hisani ya http://issamichuzi.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages