Huyu
ni mwanaume anafanya biashara katikati ya wanawake. Wewe mwanamke
unangoja nini hapo nyumbani usijitume na kufanya biashara yeyote halali
itakayokuingizia kipato chako binafsi na familia na kuachana na
utegemezi?. wanawake wanaweza hata bila kuwezeshwa ilimradi tu wawe na
afya njema na ubunifu.
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)