Wauguzi wa
Hospitali ya Amana iliyopo katika Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam,
wakimshusha mgonjwa aliyekuwa amezidiwa kutoka kwenye gari la wagonjwa
hospitalini hapo Alhamisi. Baadhi ya wananchi waliofika kupata matibabu
wamedai kuwa huduma zimerudi kama kawaida. (Picha na Mohamed Mambo).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)