MWANAFUNZI ALIYE SABABISHA VIFO VYA WANAFUNZI WENZAKE 7 AKIWA CHINI YA USALAMA WA MKUU WA WILAYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MWANAFUNZI ALIYE SABABISHA VIFO VYA WANAFUNZI WENZAKE 7 AKIWA CHINI YA USALAMA WA MKUU WA WILAYA


Mwanafunzi Kibibi Mmasa aliyekuwa anaendesha gari hilo, akiwa chini ya ulinzi wa Mkuu wa Wilaya hiyo baada ya ajali hiyo kutokea.
 Mpiga picha maarufu mkoani Tanga, Elias Mgole alimaarufu Ngoswe, akiwa kwenye Bajaj akipelekwa Hospitali ya Mangunga, baaja kujeruhiwa kwa kugongwa na gari namba T 489 AGJ
 Gari lilohusika katika ajali hiyo
Vifo hivyo vimetokea baada ya mwanafunzi aitwaye KIBIBI MMASA kuingia ndani ya gari  la kaka yake lenye namba T489 AGJ na kuanza kulichezea,wakati akiwa ndani ya gari mara akaweka gia ya kurudi nyuma na kuanza kurudi nyuma kwa kasi ya  120 km kwa saa  na kuwaparamia wanafunzi waliokuwa katika kusherekea mahafali hayo na kusababisha vifo hivyo. 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages