Chegge akielezea jinsi atakavyofunika katika shoo hiyo 'bab kubwa' kushoto ni Said Fella Meneja wa kundi la TMK.
.
Ambwene Yessayah ‘AY’ akiumwagia sifa ukumbi wa Dar Live ambao baada ya kuuona aligundua kuwa una hadhi ya kimataifa.
Ambwene Yessayah ‘AY’ akiumwagia sifa ukumbi wa Dar Live ambao baada ya kuuona aligundua kuwa una hadhi ya kimataifa.
WASANII
wakali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Mwana FA, AY, Kundi la TMK
Wanaume Family na Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ kwa pamoja
wanatarajiwa kuangusha bonge la shoo siku ya Jumapili hii ndani ya
Ukumbi wa Dar Live jijini Dar es Salaam huko Mbagala.
Akizungumza
na wanahabari mchana huu, mratibu wa burudani katika ukumbi huo, Juma
Mbizo, alisema maandalizi yote kuhusiana na tamasha hilo
yamekamilika.kama anavyoonekana mwanamuziki Mwana FA akielezea jinsi atakavyofanya makamuzi ya nguvu.






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)