Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akiSalimiana
na viongozi na wachezaji wa timu ya Villa Squard ya Kinondoni jijini
Dar es salaam waliofika bungeni mjini Dodoma leo kwa lengo la kuona na
kujifunza shughuli mbalimbali zinazofanywa na bunge.
Mbunge
wa Singida mjini Mohammed Dewji akimsikiliza kwa makini Waziri wa
Nchi,Ofisi ya Rais Uhusiano na Uratibu Stephen Wasira ndani ya ukumbi
wa bunge leo mjini Dodoma.
Mbunge
wa Same Mashariki Anne Kilango akijadili jambo na Mwanasheria mkuu wa
serikali Jaji Frederick Werema ndani ya ukumbi wa Bunge leo wakati wa
kipindi cha maswali na majibu mjini Dodoma. Picha Zote na Aron Msigwa-MAELEZO







No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)