Wachina
waliokamatwa katika eneo la Bahari ya Hindi eneo la Tanzania wakifanya
uvuvi haramu kinyume na utaratibu, Nahodha Hsui Chin Tai (kushoto) na
Zhao Hinguin, wakiwa ndani ya chumba cha Mahakama Kuu jijini Dar es
Salaam (kitengo cha Biashara) leo wakisubiri kupelekwa jela baada ya
kuhukumiwa kwenda Jela miaka 20 ama kulipa faini ya Sh. Bilioni 20. Picha na Mpiga Picha Wetu
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)