Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri masuala ya Jumuiya ya Madola, Umoja wa
Mataifa na Afrika na Mazingira ( Parliamentary Under Secretary
responsible for Africa, United Nations, economic issues, conflict
resolution, and climate change) wa Uingereza, Hendry Bellingham,
wakishuhudia Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad
Membe (kulia mbele) akitiliana saini na Waziri wa Mambo ya Nje wa
Uingereza kuhusu makubaliano kati ya nchi hizo mbili juu ya taratibu za
kukabidhiana watuhumiwa wa uharamia na mali zilizokamatwa katika
matukio ya uharamia katika Bahari kuu wakati wa hafla fupi iliyofanyika
leo, Lancaster House, London.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri masuala ya Jumuiya ya Madola, Umoja wa Mataifa na Afrika na Mazingira ( Parliamentary Under Secretary responsible for Africa, United Nations, economic issues, conflict resolution, and climate change) wa Uingereza, Hendry Bellingham, wakishuhudia Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe (kulia) akibadilishana mkataba na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza baada ya kutiliana saini mkataba huo kuhusu makubaliano kati ya nchi hizo mbili juu ya taratibu za kukabidhiana watuhumiwa wa uharamia na mali zilizokamatwa katika matukio ya uharamia katika Bahari kuu wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo, Lancaster House, London. PICHA NA IKULU

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)