Vodacom Tanzania yaongeza offer kwa siku saba(7) - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Vodacom Tanzania yaongeza offer kwa siku saba(7)

Ndugu wateja Mtandao wenu wa Vodacom Tanzania umeongeza offer kwa siku saba(7)zingine tena za kuendelea kunufaika na promosheni ya kutuma SMS kwa Tsh 25 siku nzima kwenda mitandao yote nchini,Na Ongea kwa ROBO SHILINGI kwa sekunde Voda kwa Voda saa 4 usiku hadi 1 asubuhi,Tafadhal Piga*100#ujiunge.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages