Mchezaji
Uhuru Selemani wa Simba kulia akichuana na beki wa timu ya Villa
Squard ya jijini Dar es salaam katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jioni hii,
timu ya Villa Squard imefanikiwa kuifunga Simba goli 1-0 na kujipatia
pointi tatu muhimu katika ligi hiyo.
Goli la timu ya Villa Squard limefungwa na mchezaji Nsa Job kwa kichwa katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)