JK ALIPOWASILI JIJINI MWANZA TAYARI KWA SHEREHE ZA CCM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JK ALIPOWASILI JIJINI MWANZA TAYARI KWA SHEREHE ZA CCM

Rais Kikwete akisalimiana na mkuu wa mkoa wa Mwanza Injinia Evarist Ndikillo baada ya kuwasili Uwanja wa ndege jijini Mwanza jana jioni.
 Jk akishuka kwenye ndege alipowasili uwanja wa Ndege wa Mwanza jana jioni
Rais Kikwete akiwasalimia wanachama wa CCM baada ya kuwasili jijini Mwanza
Katibu wa NEC, Nape Nnauye, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Mabina na Katibu wa CCM Mukama wakisahuriana jambo kwenye Uwanja wa Ndege jijini mwanza wakati wa mapokezi ya Rais Kikwete
Rais Kikwete akifuatana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Mabina wakati alipowaisli jijini Mwanza jana.(Picha zote na Bashir Nkoromo) 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages