Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akisisitiza jambo katika Uzinduzi
uzinduzi wa mradi wa Matumizi ya Teknolojia uliofadhiliwa na
Wamarekani.
kuliani kwake ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zahra Ali Hamadi na kushoto ni Balozi wa Marekani nchini Tanzania Alfonso Lenhardt .
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein
akiingia katika uwanuja wa Skuli ya Mwanakwerekwe C" Zanzibar na
kusalimiana na wananchi mbalimbali pamoja na wanafunzi wa skuli hio
katika Uzinduzi wa Mradi wamatumizi ya Teknolojia,Mawasiliano na Habari
kwa wanafunzi wa skuli za zanzibar na Pemba.
Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wa kwanza kushoto akikata utepe katika
Uzinduzi wa Mradi wamatumizi ya Teknolojia,Mawasiliano na Habari kwa
wanafunzi wa skuli za zanzibar na Pemba katikati ni Balozi wa Marekani
nchini Tanzania Alfonso Lenhardt .na wamwisho ni Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi.
Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wamwanzo kulia akiangalia Wanafunzi
ambao hupata mafunzo kwa kupitia Mtandao wa Kompyuta ya Mawasiliano na
Habari katika uzinduzi wa mradi wa Matumizi ya Teknolojia
uliofadhiliwa na Wamarekani.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)