Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Chama cha
Mapinduzi na Meya wa Ilala Jerry Slaa,akihutubia kwenye Kongamano la
umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa Mjini magharibi kuhusu maadili katika
uchaguzi wa kuchagua viongozi wa jumuhiya za chama hicho,halfla hiyo
ilifanyika katika Ofisi kuu ya CCM Mjini Magharibi Zanzibar jana.
jumbe
wa halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi na Meya wa Ilala Jerry
Slaa(kushoto)akimkabidhi cheti cha Shukrani katika kutumikia Chama
Katibu wa UVCCM wa Wilaya ya Mjini Unguja, Mohamed Ali Khalfani wakati
wa ufunguzi wa Kongamano la umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa Mjini
magharibi kuhusu maadili katika uchaguzi wa kuchagua viongozi wa
jumuhiya za chama hicho,halfla hiyo ilifanyika katika Ofisi kuu ya CCM
Mjini Magharibi Zanzibar jana.
Mwenyekiti
wa UVCCM wa Wilaya ya Mjini Unguja, Omary Justas Morris akihutubia
kwenye Kongamano la Umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa Mjini Magharibi
kuhusu maadili katika uchaguzi wa kuchagua viongozi wa jumuhiya za
chama hicho,halfla hiyo ilifanyika katika Ofisi kuu ya CCM Mjini
Magharibi Zanzibar jana.Katikati ni Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Chama
cha Mapinduzi na Meya wa Ilala Jerry Slaa na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa
Mjini Magharibi,Tauhida Cassian Galos.
Mjumbe
wa halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi na Meya wa Ilala Jerry
Slaa(kushoto),Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mjini Magharibi,Tauhida
Cassian Galos(katikati)na Mjumbe wa halmashauri kuu,Hamadi Yusufu
Masauni, wakipiga makofi wakati wa ufunguzi wa Kongamano la umoja wa
vijana wa CCM Mkoa wa Mjini magharibi kuhusu maadili katika uchaguzi wa
kuchagua viongozi wa jumuhiya za chama hicho,halfla hiyo ilifanyika
katika Ofisi kuu ya CCM Mjini Magharibi Zanzibar jana.
Mjumbe
wa halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi na Meya wa Ilala Jerry
Slaa(kushoto),akizungumza na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mjini
Magharibi,Tauhida Cassian Galos wakati wa ufunguzi wa Kongamano la umoja
wa vijana wa CCM Mkoa wa Mjini magharibi kuhusu maadili katika uchaguzi
wa kuchagua viongozi wa jumuhiya za chama hicho,halfla hiyo ilifanyika
katika Ofisi kuu ya CCM Mjini Magharibi Zanzibar jana.
Wanachama
wa umoja wa vijana(UVCCM)wakimtunza Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mjini
Magharibi,Tauhida Cassian Galos(katikati)baada ya Mjumbe wa halmashauri
Kuu ya Chama cha Mapinduzi na Meya wa Ilala Jerry
Slaa(hayupopichani)kufungua rasmi Kongamano la umoja wa vijana wa CCM
Mkoa wa Mjini magharibi kuhusu maadili katika uchaguzi wa kuchagua
viongozi wa jumuhiya za chama hicho,halfla hiyo ilifanyika katika Ofisi
kuu ya CCM Mjini Magharibi Zanzibar jana
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)