Mkurugenzi
Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw
Tutubi Mangazen akifunguwa Warsh ya Elimu ya Uzalishaji na Matumizi
Endelevu kwenye Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Makamu wa Rais kulia
Mukurugenzi Mazingira Dk Julias Ningu,Mwakilishi wa UNEP Paris Bi
Khairoon AbassKushoto Mkurugenzi wa Barazi la Taifa na Uhifadhi wa
Mazingira [NEMC]Eng Boniventure Baya,Mwakilishi wa UNEP nchini Tanzania
Bi Clara Makenya
Mwakilishi
wa UNEP Nchini Tanzania Bi Clara Makenya akizungumza kwenye Warsha ya
Elimu ya Uzalishaji na Matumizi Endelevu iliofanyika kwenye Ukumbi wa
Ofisi ya Makamu wa Rais Kulia Mkurugenzi wa Mazingira Dk Julias
Nigu,Mkurugenzi Utawala Rasilimali watu Bw Tutubi Mangzen,Mkurugenzi
Baraza la Taifa NEMC Eng Boniventure Baya na Mwakilishi wa UNEP kutoka
Paris BiKhairoo Abass, leo Mtaa wa LUthuli Mjini Dar es Salaa.
Washiriki
wa Warsha ya Elimu ya Uzalishaji na MatumiziEndelevu wakiwa katika
Picha ya Pamoja Mara baada ya Ufunguzi leo kwenye Ofis ya Makamu wa Rais
Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam.Picha na Ali Meja
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)