Kurt
Simonsen Mkuu wa benki ya European Investment Bank kanda ya Afrka
Mashariki na Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania
Suleiman Suleiman, wakijadiliana jambo wakati hafla ya kutiliana saini
mkataba wa kuendeleza viwanja vya ndege nchini Tanzania.
Katibu
mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi Bw. Ramadhani Khijjah kushoto na
Kurt Simonsen Mkuu wa benki ya European Investment Bank kanda ya Afrka
Mashariki, wakibadilisha hati za mikataba mara baada ya kutiliana saini
leo jijini Dar es salaam.
Katibu
mkuu wa Wizara ya fedha Mr Ramadhani Khijjah kushoto akiongea na
waandishi wa habari katika makao makuu ya wizara hiyo jijini Dar es
salaam wakati wa kutiliana saini mkataba kwa shilingi Bilioni 102.3 kwa
ajili ya kuendeleza kupanua viwanja vya ndege nchini Tanzania, (kulia)
Kurt Simonsen Mkuu wa benki ya European Investment Bank kanda ya Afrka
Mashariki.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON)




No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)