RISALA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA ZANZIBAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RISALA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA ZANZIBAR

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Othman Masoud Othman, akisoma risala katika sherehe hizo 
Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Ibrahim Mzee,akisoma risala yake katika sherehe za Siku ya Sheria Zanzibar. 
Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu, akisoma risala katika sherehe za Siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika viwanja vya Victoria Vuga jana

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages