(kulia) Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde akitoa maelekezo
yaliyopo katika fomu ya uthibitisho wa Ushindi kwa mshindi wa shilingi
milion 50 wa droo ya pili ya promotion ya Mzuka wa Airtel Bi Hadija
Omary Issa kabla ya kusaini fomu hizo Jana katika ofisi za Airtel Makao
Makuu . Hadija atakabithiwa pesa zake taslimu katika wiki chache zijazo.
Mshindi wa pili wa shiling million 50 wa promotion ya Mzuka wa Aritel
Bi, Hadija Omary Issa (kushoto) akisaini fomu ya udhibitisho wa malipo
ya fedha zake baada ya kuibuka mshindi wa pili wa promosheni hiyo
ambayo inaendelea kwa wateja wote wa Airtel Tanzania, anaeshushuhudia ni
Afisa Uhusiano wa Airtel Jane Matinde wakati wa hafla fupi iliyofanyika jana katika ofisi kuu ya Airtel Tanzania .
Mshindi wa pili wa kitita cha shilingi milioni 50 wa promotion ya
Mzuka wa Airtel Bi Hadija Omary Issa (kushoto) akikabidhiwa fomu ya
udhibitsho wa malipo ya fedha zake na Afisa Uhusiano wa Kampuni ya
Airtel Jane Matinde , baada ya kuibuka mshindi wa pili wa promotion
hiyo ambayo inaendelea kwa wateja wa Kampuni ya Airtel Tanzania.Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika ofisi kuu ya Airtel Tanzania
Mshindi
wa milioni 50 wa promosheni ya mzuka wa Airtel , Bi Hadija Omary Issa
(kushoto) akionyesha fomu ya uthibitisho wa ushindi mara baada ya
kusainiwa naye na mwakilishi wa Airtel kama uthibitisho wa ushindi wake wa kitita cha shilingi mlioni 50 anaeshuhudia ni Afisa
uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania Bi Jane
Matinde jana katika ofisi kuu ya Airtel Tanzania Morocco
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)