Dr James Msekela na Familia yake baada ya kuapishwa na Rais Jakaya kikwete kuwa balozi wa Tanzania Italy leo Ikulu jijini Dar
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Gharib Mohamed Bilal na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa Mh John Haule (kulia) na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Penaeli Lyimo (kushoto) na Dkt James Msekela baada ya kuapishwa kuwa balozi wa Tanzania Italy leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mhe. James Msekela, anayekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Februari 7, 2012.
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi nyenzo za kazi Dkt James Msekela baada ya kuapishwa leo kuwa balozi wa Tanzania Italy.
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal wakiongea na Dr James Nsekela na Mkewe baada ya Dr Msekela kula kiapo cha kuwa balozi wa Tanzania nchini Italy leo Ikulu jijini Dar es salaam.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)