Ni Mafunzo Ya Siku Tano ya Kuimarisha Utamaduni wa Tanzania Kwa Maofisa wa Utamaduni wa Tanzania Bara na Zanzibar - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Ni Mafunzo Ya Siku Tano ya Kuimarisha Utamaduni wa Tanzania Kwa Maofisa wa Utamaduni wa Tanzania Bara na Zanzibar

Kamishna wa Utamaduni Zanzibar Hamad Bakari Mshindo akizindua mafunzo ya siku tano ya kuimarisha utamaduni wa Tanzania kwa Maofisa wa Utamaduni wa Tanzania Bara na Zanzibar katika Ukumbi wa Hoteli ya Bwawani.Zanzibar.
Culture Expert UNESCO Silverse Lisamula Anami, akitowa maelezo jinsi ya kuimarisha utamaduni na jinsi gani mtu anaweza kuuhishimu utamaduni wa mwezake.
Mkuu wa kitengo cha UNESCO Dar-es-Salaam Program Specialist Culture Sector. Adele Nibona akitowa maelezo jinsi ya Kuimarisha utamaduni wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tano kusimamia utamaduni wa Tanzania.na kuimarisha maadili.
Maofisa wa Utamaduni wakimsikiliza Kamishna wa Utamaduni Zanzibar akifunguwa mafunzo hayo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages