NDANI YA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NDANI YA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa  Viwanda na Biashara, Cyrli Chami kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma  Februari 10, 2010.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum, Mary Mwanjelwa (kushoto) , Pindi Chana (wa pili kulia) na  Catherine Magige (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 10, 2012.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge na Siasa, William Lukuvi akizungumza na Mbunge wa zamani wa Kasulu, Profesa Joseph Mbwiliza kwenye Ofisi za Bunge Mjini Dodoma, Februari 10, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages