NAPE AKAGUA KAMBI YA VIJANA WANAOJIANDAA NA SHEREHE ZA MIAKA 35 YA CCM MWANZA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NAPE AKAGUA KAMBI YA VIJANA WANAOJIANDAA NA SHEREHE ZA MIAKA 35 YA CCM MWANZA

Nape akiwashangilia Vijana hao baada ya kuimba wimbo wa Mapinduzi.Kulia ni Katibu mpya wa Umoja wa Viojana wa CCM mkoa wa Mwanza Julius Mpanda na watatu kulia ni Katibu wa zamani wa vijana wa mkoa huo, Josephat Ndulango.
Baadhi ya vijana wakiwa na nyuso za kikakamavu walipompokea Nape

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia vijana waliopiga kambi kujiandaa wa kwaride maalum la sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 35 ya CCM, alipotembelea vijana hao kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, leo. Maadhimisho hayo yanafanyika Jumapili hii, Februari 5, 2012 Kitaifa mjini Mwanza.
Nape akila chakula kwenye kambi hiyo ya Vijana .Picha Na Full Shangwe

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages