Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akijadili jambo na mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Mhe. Jaji Lubuva ambaye alimtembelea Spika kwa lengo na kubadilishana nae mawazo Ofisini kwake Bungeni, mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akijadili jambo na mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Mhe. Jaji Lubuva (Katikati) wakati alipofika kwenye Ofisi za Bunge mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Mhe. Hamid Mahamoud Hamid. Picha na Owen Mwandumbya-Bunge
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)