Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto, Ummy Mwalimu
(kulia), Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Dk Rehema Nchimbi (katikati) na Mkuu wa
Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa wakicheza mziki wa Kwaito wakati wa
uwekaji jiwe la Msingi katika Jengo la kituo cha kutunzia Kumbukumbu na
Nyaraka za Taifa uliofanyika mkoani humo.Picha na Amani Tanzania
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)