Mkuu wa Mkoa
wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki akiwa amembeba mtoto wa miezi saba,
Sinani Makame, ambaye ni miongoni mwa wagonjwa 21 wa moyo waliotarajiwa
kusafiri jana kwenda New Delhi, India kwa ajili ya upasuaji wa moyo.
Kulia ni mama mzazi wa mtoto huyo, Shara Jaffar, Dk. Rajni Kanabar wa
Hospitali ya Regency (wa pili kulia) na baadhi ya viongozi wa Lions Club
Dar es Salaam. (Picha na Fadhili Akida).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)