Mgonjwa Damas
Mwita aliyelazwa katika wodi ya Sewahaji, Hospitali ya Taifa Muhimbili,
akizungumza kwa jazba mbele ya Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu
ya Huduma za
Jamii, Margaret Sitta (mwenye koti jeusi) wakati yeye na
wajumbe wa kamati hiyo walipotembelea hospitali hiyo, Dar es
Salaam jana kujionea hali halisi ya wagonjwa baada ya kuwepo
mgomo wa madaktari unaoendelea nchini kote. (Picha na Fadhili
Akida).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)