Mkurugenzi
wa Kitengo cha Siasa, Ulinzi na Usalama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa
Afrika Mashariki, Kagyabukama Kiliba akizungumza katika mkutano na
waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu mchakato wa uundwaji wa
mfumo wa Itifaki ya Amani na Usalama kwa nchi za Jumuiya ya Afrika
Mashariki. Kulia ni Patrick Mwatonoka ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi wa
masuala ya Siasa wa wizara hiyo.Picha na Mdau Richard Mwaikenda
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)