MAPOKEZI YA WAZIRI WA ZAMBIA NA BALOZI WA CONGO DRC KIGOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAPOKEZI YA WAZIRI WA ZAMBIA NA BALOZI WA CONGO DRC KIGOMA

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Bi. Terezya Huvisa   na ujumbe kutoka Sekretarieti ya Mkoa wa Kigoma wakipokea wageni katika uwanja wa ndege wa Kipampa mkoani Kigoma, ambao ni Waziri wa Elimu ya Msingi na Mazingira wa Zambia Prof. Nkandu Luo  (wa pili kulia) na Balozi wa Congo Nchini Tanzania Bw.khalfan Juma Mpango (wa kwanza kushoto). Ugeni huo upo Nchi kuhudhuria Mkutano wa Tano wa Mawaziri wa Mamlaka ya Ziwa Tanganyika.  (Picha na Ali Meja)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages