Habari za kazi Wadau, poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa.
Kufuatia tatizo la kiufundi lililojitokeza hapo nyuma blogu yako ya
Mamapipiro ilishindwa kuendelea na utendaji wake, nawaomba radhi wadau
wangu wote ambao mlikosa kupata matukio muhimu ya michezo na burudani
kwa zaidi ya wiki moja,hivyo kwa sasa mambo yamekaa sawa hivyo
endeleleeni kuperuzi blogu yenu kwa habari kem kem za michezo na
burudani kupitia www.mamapipiro.blogspot.com.
Natanguliza shukrani zangu za dhati!
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)