MAKAMU AKUTANA NA 'USITAKE NCHEKE'
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na mmoja kati ya wafanyakazi wa kiwanda cha SAO Hill,
Erlend Haugen, ambaye ni mrefu kuliko wafanyakazi wote wa kiwanda hicho,
baada ya kuzindua mashine cha kuchana mbao katika kiwanda hicho jana.
Makau
wa Rai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mkurugenzi wa Nishati katika Kiwanda cha SAO Hill,
Roselyne Mariki, wakati alipowasili katika kiwanda hicho jana, kwa ajili ya kuzindua mashine mpya nay a kisasa ya kuchana mbao.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha SAO Hill, Nick Moore,
hukusu ufanyaji kazi wa mashine mpya nay a kisasa ya kuchana mbao
iliyofungwa katika kiwanda hicho.
Makamu
wa Rais Dkt Bilal, akiwahutubia wananchi na wafanyakazi wa Benki ya
Wananchi ya NJOCOBA baada ya kuizindua benki hiyo jana.
Vijana
wa JKT wakiimba na kucheza wakati wa makaribisho ya Makamu wa Rais,
alipokuwa akiwasili Kijiji cha Rungemba kuzindua Kituo cha afya jana.
Vijana
wa JKT wakiimba na kucheza wakati wa makaribisho ya Makamu wa Rais,
alipokuwa akiwasili Kijiji cha Rungemba kuzindua Kituo cha afya jana.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)